hongera tanzania
Nikiwa kama mtanzania halisi nimefurahi sana kwa tuzo hii na nasimama kumpongeza mtanzania mwenzentu kwa kutwaaa tuzo hii kubwa na yenye maana kubwa kwa TAIFA
Hahika tumeona nguvu ya TAIFA tulisimama pamoja kupiga Kura kwa kijana wetu na hakika amefanikiwa
HONGERA MZIZE
HONGERA TANZANIA
Comments