HUU SIYO UCHUNGUZI

Nimejaribu kuangalia uchunguzi huuu wa CNN  naona umejaa uchochezi tuuuu na kutugawa sisi kama taifa

TUJIULIZE MASWALI KWANZA YA MUHIMU

    Huu siyo uchunguzi huu ni uchochezi tuuuu kwanini wamechagua vipande??? Kwanini pale wanachoma sheli hawajaweka?? Pale wanaua watu kisa watoka kupiga Kura mhona hawajaweka?pale wanachoma magari mbona hawajaweka?? Pale wanaiba siraha kituo Cha polisi mbona hawajaweka?? Kivipi wasiweke pale wanachoma mwendokasi?? Kwanini wasiweke pale waiba magari ya polisi?? Huuu siyo uchunguzi huu ni uchochezi Tena zile video za akina mange zinatumika Tena kama uchunguzi huku tukiambiwa ni satellite ndo imefanya 
    Sasa tumepata majibu kumbe Hawa akina mange wanashirikiana na vyombo vya magharibi kweli Tena munatupa majibu kwa haraka sana sisi wenye akili tusiofata mkumbo.
    Kama TAIFA bado tutakua imara na nyie wachochezi mutaishia pabaya

Comments

Popular posts from this blog